Mambo ya Mombasani!

Mahakamani…
Kijana wa miaka 22 anashitakiwa kumbaka bibi kizee wa watu.

Hakimu: Bibi, hebu ieleze mahakama kilichotokea.
Bibi Kizee: Nimelala nyumbani kwangu usiku wa manane. Mlango unavunjiliwa mbali na anaingia huyu kijana, aliyesimama pale.
Hakimu: Endelea, Bibi.
Bibi Kizee: Si, akanivua nguo zote na kunipanda.
Hakimu: Enhee!
Bibi Kizee: Akawa anakata kushoto, mimi kulia. Alidhani mimi bwege!
Hakimu: Enhee!
Bibi Kizee: Kila akikata, na mimi najibu!
Hakimu: Sasa tatizo lilokuleta hapa mahakamani ni nini?
Bibi Kizee: Ajenge ule mlango aliouvunja!

9 Likes

:D:D though ni recycled.exe bado iko swafi

Haha. Cougar diaries continue.

@Guru :):smiley:

Ehee. Mlango itengezwe

1 Like

:D:D:D:D
Reminds me of the kao chic.