Mambo ni kujipanga my friend

Angalia @Bandit ako just under 30yrs.
@Ndindu piga stamp ya wivu hapa mkiwa na chokosh wenzako.
@Electronics4u tafta Mimi njeri moja
607k na bado aiseh


5 Likes

Most Africans waste money on things they don’t necessarily need

10 Likes

Coins ndizo unashinda ukipigia watu Picha.

Unatafuta approval sana of all places Ktalk? I pity you bro. Uko na disorder fulani. Hapa Ktalk kuna watu wana mali but yiu will never see them flossing TCL, Hisense and sijui SOLSTAR, water dispenser. Hizo ni goods za China zinazojulikana by OEM name Weili. (Brandless Sweatshop products) from Guangzhou and Shanghai.

image

Hapo kitu ya maana ni Hiyo SONY na Samsung hizo zingine rudisha uongeze pesa.

5 Likes

Akili pia uko na kidogo. Who buys TCL unless they are trying to save money?

2 Likes

Wewe mtu wa mkono chunga mwenyewe asikupate

1 Like

Congratulations elder.
Hope hiyo pick up haielekei pipeline Kwa bedsitter.

3 Likes

Nani anakumbuka ile scene ya ile movie ya Tyrese…Baby boy saa zile ule jamaa hukula mathake huingia kwa room anaanza kumwambia juu ya mafala hununua ‘butter’ vs ‘things that appreciate with value like stocks and real estate’ alafu anatoka amewatukana you young dumb motherfuckers…

3 Likes

Kra should hunt down that trader for not issuing etr receipt

3 Likes

@Gaza kuna mtu hapa anataka mawaitha.

3 Likes

Hapo sawa talker. Anza maisha sasa.

3 Likes

Jamaa wangu @Bandit hako na inferiority complex moja wazimu aisee. Acha tu aji nice.

5 Likes

New government money. This is at the expense of the poor in society that need basic social services like education, food and health. You should feel ashamed of yourself

1 Like

Rada ni? Airbnb set up ama ndio umehama kwa mathe?

1 Like

go easy on him, labda ndio ameanza maisha. he will develop a finer taste in due time

3 Likes

Its called over compensating

4 Likes

…add this “to impress people who care less about them”

…I said I can only blame his background.

Jamaa yuachapa kazi na movers, yeye ni ka dere. Ona tu vile anajiaibisha hapa.

Bandido, lo estás perdiendo. Al igual que Agwambo está perdiendo el control…

Weka clip elder

If you spend money on things that you dont need,you will soon have to sell things that you need ~Warren Buffet

3 Likes