Katika moja ya scene kwenye filamu kuna picha ilichorwa na Jack Dawson akionekana Rose yupo uchi.Wengi walidhani mikono ya jack ilichora lakini ukweli ni kwamba James Cameron, ambae ndie Director wa filamu hiyo ndiye aliyechora na ile mikono iliyoonekana ni yake