https://1.bp.blogspot.com/-Ybcss1yYv6w/Wlx7lrpyVaI/AAAAAAAAFfI/jV8aQhoWWGw0B7QFU1m4oTEZa7RmDiS0gCLcBGAs/s1600/Webp.net-resizeimage%2B%252811%2529.jpg
#8: Amesomea Uigizaji nchini marekani!
Lupita kasoma Yale School of Drama ambako watu maarufu kama Meryl Streep, Sigourney Weaver na Angela Bassett wamesomea. Wiki kadhaa kabla ya kuhitimu alipata kuigiza kama Patsey katika filamu ya 12 Years A slave, filamu ambayo ilimpa tuzo ya Oscar na kumfanya actress wa kwanza kupata barani Africa
The courtesy of Newzfid.com |2018
Please like, share and subscribe!!