Mambo 10 Usiyofahamu Kuhusu Black Panther

#9: Nchi ya Wakanda!

Katika ulimwengu wa Marvel, T’Challa ni kiongozi wa “Wakanda” Taifa lililojificha lakini linapatikana kaskazini mashariki mwa Africa.
Wakanda iko mbele sana katika sayansi na teknolojia kuliko taifa lolote duniani lakini wanaogopa kusambaza teknolojia zao hasa madini ya Vibranium na dunia nzima.

TAZAMA VIDEO

https://www.youtube.com/watch?v=5AfHzDFnAhw

Apana. Tunaomba utueleze hapa kwa sababu hatuna vijiti kikundi vya interneti

Hamuwezi ona cinema Bila kutuambia.

:D:D:DMtajuaje wameona??

Hype yote hii. Nangoja December ndo nione hii kitu - maybe -

The next big one

https://www.youtube.com/watch?v=6ZfuNTqbHE8

utakuwa umepitwa na wakati dadangu

:eek: @epoch ni shemale? :D:D

hiyo ni kiherehere tu!! noggle

@admin kiswahili kifukuzwe tafadhali.

:D:D Wachana na huyo mwendawazimu, leo amevuta gum kupita kiasi

Panthari nyeusi…