mama ngina na streetboyz

it was August in mombasa,so many parties happening,the famous TEMBO was the place to be izo enzi.

ilikuwa 5 star hang point kwanza ya kupataa kunguru za bui bui.

sasa sparta na mabeste akina sean na alex tukapanga vile sato tutaspend,tukapanga mzinga za blue moon ndio form,sean akadai ako na matatu bado haijawekwa viti we can cruise nayo bora tu change za fuel,kiti ilikuwa tu ya dereva,

Alex akadai tusake wasee na madame ndio tujibambe fiti tunaweza enda mama ngina drive kurelax, tutajuwa vile tutakaa chini bila viti,

tukaongeza billy na frank tukakuwa maboy watano,then mizoga tulipa watatu pekee,

tukachangaa na tukabuy mizinga tukapatanaa na sean yeye ndio alikuwa driver,squad mzima kwa matatu hadi madame na tukaelekea mama ngina kama tumekaa kwa sakafu bila kusumbua,

tuka-park na kuanza drinking spree tukichapwa na breeze kutoka ocean…kulikuwa kumejaa watu uko since it was a holiday month…

tukachapa ma dry shots tukalewa vizuri na mizoga,zilikuwa zinabambika pia,

tulikuwa tunabuy madafu na kuweka bluemoon apo ndani design ya margarita

we were having a good time,

around 1am tukadecide to change venue to go near florida,as we were leaving kumbe kuna street boyz walikuwa wanakimbizana,and one of them alikuwa amejificha chini ya gari…

sasa kugurumisha gari boy aka-panic akatoka mbio chini ya gari bahati mbaya akaji-scratch mguu alikuwa anableed…mtoi ni wale youth msa wanaitwa masurvivor, huvuta kibere(glue)

tukatoka kucheki kama ameumia sana,it was not that serious lakini alikuwa anajifanya amekanyangwa,
hii ni design wengi hutumia for extortion
pole pole crowd ina anza kukuja

nini mbaya?

Hawa walevi wamekanyaga mtoto

Apo sean anajitetea hajamkanyaga, mtoi kulizwa anadai ameumia

Apo wale wasee wa kuchonga muguka wanakuja kushika sean wamchape,

Jamaa moja alimuekelea ngumi…unakanyagaa aje mtoto….weeeh msengee

Apo akina Sparta wakajaribu kutuliza watu, tukawashow kama uyu boy anasema amekanyangwa tumpelekee hosi atibiwe ama basi afanye xray

Ule jamaa alipigana ngumi akadai tunawajuwa nyinyi mutaenda kuwatupa mbele,

Tuka suggest basi pia yeye aingiye tuende wote,na uyo mtoi pia

Wakakubali uyo fala na beste yake wakaingia nyuma wote na pia hao watoi wawili,kwa sakafu ata sijui mbona nawaita watoi they were like 14 or 15 yrs, then kirende yetu yote ikaingia na mizoga na tukaelekea Pandia hospital…

Wale majamaa bado wanaongea shit ndani ya gari,then alex akauliza uyo mtoi mbona umedaganya umekanyangwa karibu beste yetu auliwe? Iyo jamaa ika shout wachana nayeye

Alex akashow sean,tuede jocham hospital usingiye na pandia, Alex akanishow nagreek

ICI JAMAA TURACIHEE GATHERI TAA GUI (hawa wasee tunawapa kichapo kama mbwa) nikaenda kwa sean nikamshow usimamishe opposite Cathedral ,sean akadai sawa

Gari iliposimama Alex akadai shukeni, jamaa alifungua mdomo kusema Mseee………akapewa ngumi kwa chin ,mizoga ikapiga nduru uyo mwingine pia tukamrukia na kicks hadi akatema TAXIN na muguka aliyokuwa nayo, sean naye alikuja kurevenge hii nyangau ilimchapa, beating ilikuwa kama ya 4 mins

Kufungua iyo mlango majamaa walichomoka mbio wakisema shoga…wasengee kuuuumaa makoo boy moja akawacha hadi kiatu

Wale streetboyz wawili kuona ivo wakachanganyikiwa na Alex akatandika moja kofi wakachomoka kama Usain bolt hadi ule alikuwa anadai amevunjika mguu…

Tulienda iyo safari tukicheka hadi pale nyali bridge tukapataa road block kawaida karao wakakula yao 100bob na tukaelekea TEMBO

Swaf sana Timo. Hao mzoga walikutwa HKM with Niceness?

Lakini hao jamaa ni mafala, utaingia aje gari mko out numbered. Hii rule huwa si break.

:D:D:D

Hapo mlicheza kama Don Corleone.

apo kwa niceness replace na KY JELLY :smiley:

Hii rule ndio ata niki itwa bash and the pple that dont know me ni wengi nachorea nitangusha heka vile nilifanywa umoja:(

:smiley: thou tulikaa over 6 months bila kufika uko mama ngina

He he he!
A good turn deserves another…
Yaani mkono lazima urudishwe…

:D:D:D:Dnice one, I hate it vile jamaa ukimguza anajifanya ni kama ameumia baya sana, nkt!

Hata mimi ndio nimeshindwa. Wako outnumbered na wanaongea shit. It was bound to happen. :D:D…inakaa huyo Alex ndiye alikuwa booster aliona wanabebwa ujinga

no wonder alikamua the hottest chic sparta akawachiwa third runner up lakini siku mind

:D:D:D:D:D:D Hekaya swafi

Naimagine vile uyo msee alipigwa hadi akatema taxin:D:D:D:D:D

Hehe noma Sana… nice hekaya

Hapana ua jamaa ya muguka

Iko nyangau ya kifikifi ilijigonga kwangu 31dec ikadai imeumia ilipwe ,ilifungua mwaka jela.

:D:D angusha heka full @pamba

:D:D:D:D:D:D:D

Hekaya ni moto kama pasi

Itabidi ugoje the year 2030

:D:D:D:D:D:D:Devening made…

I agreed. zamo sana. That you are a mad man walking our region huko Kiambu:D and also ‘repping’ us Wasaperes at the Coast Region. Nimecheka sana. Wooi my ribs!

You dude would do so well in the movie industry.:frowning: