Malindi kupakwa tope!

Mimi ni mkereketwa na mpigia debe mji wa Malindi, cheki hapa kwa malindians. Ila wadau hapa waipaka tope kila wanapoitaja. Malindi imekuwa ni kama Amsterdam ya Kenya? kwani sehemu zingine za Kenya hazina wauza ngono?
[ATTACH=full]285081[/ATTACH]

U

iko nini?

M

@komzinski nenda ukapigie debe …huko

Malindi. A dangerous place with knife welding kungurua. Mmoja aliua Hermann wa Beer Garten. By the way salimia Robert Karume pale Open View

Malindi imesifika na kubobea Sana kwa ushoga na ngono ya mbwa kwa raha za wajerumani na wataliano … so shut the fuck apuu !

Umbwa niaje?

E