Back in campus, tulipelekwa trip ya Mombasa for one week. Sasa shule iliharibu maneno juu headquaters ya kulala ilikua place inaitwa Mtwapa. Maisha yangu yote sijawahi ona malaya wengi mahali moja kama huko. Sasa sisi form zetu na friends wangu 5 ilikua drinking like shit. So kati kati ya wiki ivi, tulikua maraundi tukisaka pedi wa huko then kwa street flani lanye flani alituflashia coomer live live na kusema acheni kuogopa kuona, kwani hamjai ona coomer, haha. Sasa mm nikapropose idea, why don’t we sample a few tuone. Friends wangu walikubali but walikua waoga so nikajitolea kuwahook up kila mmoja na wake. Pia mm nilisaka mmoja hapo. Mm nikaelewana na wangu bei, kufika room akadai kunivalisha CD mbili nikaona hii ni upuzi mi nikasare na kuleft. That was my short stint with lanyes ever juu sijawai try tena. Ubaya sasa I think I might have spoiled my friend called Willy. Tulikua tunakaa kwa meza ya bar, anajiexcuse kiasi. Alipull hii stunt mara kadhaa nikaamua nimfwate chini ya maji once bana kumbe ilikua malaya amekua akiwachangamkia. Naregret kumuintroduce juu juzi, 2 years later, nilitumia lappy yake, kutype tu N kwa chrome, Nairobihot ndio first suggestion. I think amekua addicted. I just hope it is a phase na itapita. Wasee, kama unajua hauna self control, steer cleer of prostitutes.
Your character will define you further along. For your friend maji hufuata mkondo but if you want to help let him do it. Try to hook him up with a half kunguru to hear his side of story.
Itabidi uonyeshe huyo ninja zile threads za huku Ktalk za watu kumeza PEP na wenye wamejipata arrested na karao na kanjo outside brothels za tao
U never labda huyo beste yake ni talker na yeye ndio wa kupost tumesalimiana wangapi na kupeana bei fixed.
Niaje Willy Wanker
The human brain is wired for addiction, that’s how our ancestors survived for millennia. So you can get hooked on useless stuff just as easily as you can get fixated on self-improvement. How you channel this info is up to you.
Awesome insight.
This thread should be pinned