Wadau, I’m planning on visiting kampala next week through the malaba border, what are the requirements? I’m also taking My 8 year old son with me.
passport na yellow fever. mtoto waweza kwenda nyayo house umwongexe kwa passport yako kabla uondoke.
Mtoto ako na passport yake
Passports for both of you, and yellow fever certs.
Not sure if you need the moms consent since you’re the dad.
Uganda is a bonobo republic and a patriarchal society hence his mother’s consent wouldn’t matter that much.
Beba 2k ya brib
Uganda ID inatosha
Nitaingia bila yellow fever na covid cert with 2k?
Ingia kifua na uwache kiswahili kali kali. You will be fine
Utaachwa na basi ukiwaste time hivi, beba ID na Yellow Fever. Was there early 2020 and they only checked ID. Ama kama unajiskia ninja eka bag kwa boda tembea na morio small mkibeba platic bag and proceed through the gates kama unaenda shopping, collect bag and RUN. Not really worth it though
COVID cert lazima ama utabaki border ukijiongelesha.
I thought borders were open to East Africans na ni kuingia na kutoka bila maswali.