Makupa trainwreck

[ATTACH=full]171624[/ATTACH]

Mbona hakuna picha ya hii kitu.

kiongozi M4 hii unahusiana aje na kategori ya kusafisha mecho ?

Uncle Leo town ilikua deserted, esp pale sabasaba. Kunguru za changamwe, magongo, miritini, mikindani, kwahora, jomvu, mainland,…zote hazikuingia works.

Mawindo Sabasaba? Hata afadhali Msufi Mkavu

Muthee habari ya gorofani?

Poa poa kizee.

directions to this place before vacation iishe niende kusafisha mecho