Make Mombasa Green Again

Kabla niskie mtu akisema niza plastic nionyesheni za county zenu.
JOHO 2022
[ATTACH=full]185354[/ATTACH]
[ATTACH=full]185355[/ATTACH]
[ATTACH=full]185356[/ATTACH]

Hii area gani ama ni hukooo kanamai?

LEAFY SUBURB YA NYALI

That’s a good start, if we were to get that hapa 047, the plastic bottle menace would go away and so would be the drainage blockage. All we are talking about is a mega recycling project instead minor things like disposal bins that will have a considerable impact.

lakini pale makadara spitali hali ndio hii
CC: @Tommy Lee Sparta
[ATTACH=full]185358[/ATTACH]

did they put nails on trees? huyo mtu haiwezi katwa na power saw tena, halafu huyo ya kwanza ni kikingi ya stima?

Gojea kidogo tu hio tender ya hizo bins ianze kunuka, ustake jua nipesa ngapi imelipwa

How do you empty the bucket ama lazima you pick it’s one by one ?

Not bad for a start. Watu wanafaa kuwajibika.

Power saw itakata tu. Lakini chain ikipatana na hiyo msumari itabidi ibadilishwe, ama inolewe tena.

Why did Joho wait 6 years?

You just swing the bucket inward. Kwani hukufanya Art & Craft.

Might work very well in Mombasa but Nairobi naona watu wakivuka na hizo ndoo the first night they are installed.
Nasijataja mtaa yeyote!.. Kikikikkkk…

ata hapa mombasani kuna mitaa haziwes wekwa

It’s very painful that our dear counties have billions but such simple things aren’t implemented.

very bad look on CBD kwanza main digo road

municipal ya mombasa is a joke

Mkubwa,

Wacha tuambiwe ndoo moja ni Ksh 1750 na kuibandika kwa kikingi ni 250.

what about the CBD? that is where there is huge human traffic who litter because there are no bins

Village Chief, naona umepewa kibarua ya kupigia sultan debe. All the best.

Shida ya county 001 ni attitude ya watu!

In major cities around the world there are no garbage bins & people don’t litter, Even locally a town like Nakuru (once voted the cleanest in east Africa) there no garbage bins around every street coner and its relatively cleaner compared to Mombasa.