Makapuku Forum

Ndugu zako hatawaweza kabia

Hihih!! Ulijua tupo chini ya utawala wa Max?

PAMOJA!

Wana kwato eti?

Atakuja mwenyewe sasa

Sakayo bhana

Hahhahhahha bichwa lako

Ata sina

Heheheh!!

Forum ipo slow ukiwa fasta kupost eti adi usubiri sec 9

Hahahhaha

Yaan waweke tu app jamani tunateseka

Pm huku inaitwaje

Kupost adi usubiri weeeee

Sio pm hivyohivyo

Ngoja niifanyie majaribio

mpk kesho mtakamilika maana
mko

staring

Hahah!! Wewe kazia tu

kwa kweli uko vzr ila usichungulie PM si unajua hahaaaa