Yo @introvert ,watu wa KTM adventure 990 wakiitwa pale mbele, naweza tokea?[ATTACH=full]179041[/ATTACH]
Mwalimu umesahau number plate…
CSI…
:D:D:D
Mwalimu hii labda ukuje nikutume pizza. Tuko njaa saidi.[ATTACH=full]179052[/ATTACH]
These days they make KTM’s like Chinese Shinerays?
naona hata simu uli-upgrade mwarimo
Makanika kuja carwash ya nduthi:D:D:D:D…
[ATTACH=full]179051[/ATTACH]
Hio namba ilikam na bike plus logbook, details zangu nadhani KRA hawana! Otherwise nduthi ni ya mwarimo, ama mnataka niweke TSC No?
Ambia hiyo nugu ya
Ambia hiyo nugu CSI asianike mwarimo, nilikewa saa tano ndugu.
Hehe, btw hii tail box nilibuy Makindu 1k. Niligongwa?
True.
KTM, Yamaha and Honda have some swanky looking bikes under 300cc that are Indian.
I had the misfortune of working on KTM Chinku bikes belonging to Kenya Forest Service.
Kama si pombe singemanage.
:D:D:D:D:D
Iko sawa.
Top box ya ukweli iko Biker’s Garage Gigiri elfu kumi na tisa.
Utajua tofauti ukianguka.
I had a fall last week at 150kph and the bike slid 80mts.
The top box survived.
:D:D
Mwalimu leo nanyeshea watu wa Toyota, watu weusi na watu wa nduthi inatoshana na shaving machine.
I had a fall last week at 150kph and the bike slid 80mts.
Wtf? Its time to hung your helmet .
Hehe, na nikibuy Vitz si utaikojolea basi? Hii bike nitakuletea siku moja upige upgrade.
Dude, I’ve ridden to work the past two days with a fractured leg.
Hii kitu siwachi.
Mwarimo niki fwana? Umuthi dagwika haifu naki?
Pole ndugu, mimi huwa sikimbii, nikimeza wd40 ndio napiga 110km/h, hadi makende inahama. Wacha mbio ndugu.
Hii ukipiga kick start sheppart hukushikia ladder? Ni kama kubebwa na na ‘don-kea’ ‘fuda’
Inaonekana unataka tujue kwenu. Isorait.