Makaa za Kambiti

Hizi hekaya za makaa ya Kambiti huwa ukweli? Who has ever thought of experimenting?

Usicheze na uchawi wa wakamba!

Utakunia paka Iko alive

@cortedivoire alidinywa na @NUBIA huko kambiti akikimbilia gunia ya makaa ya bure
chunga sana

Ni myth…hakuna urogi wadau

Meffi

Hakuna uchawi.