This guy says that the most highly concentrated area with Kenyans in the US is some Section 8 housing in Minnesota! Hiyo si ni ghetto ya mwisho ya US ya watu hawajiwezi? Then the guy shows how they shop at Goodwill. Manze hiyo life ata hakuna tofauti na ya Kenya
Aka mpole anaishi hapo
Minimum wage ya $10 per hour. I’ll take that. Thank you
Hio ghetto inakaa kileleshwa.
Kama wanaishi vizuri na wanainvest why is it a problem? Why waste money paying first world rent yet you can use it to increase your net worth back home?
Fairly comfortable but u will never be rich
Is Section 8 comfortable? That’s like jumping out the frying pan into the fire. Hapo ni macrackhead wamejaa, na pia wale bonobo black Americans wa kupiga watu risasi over the slightest disagreement. Teen pregnancies are also through the roof in the projects so if you have a daughter, ole wako
Buda hiyo section 8 housing iko karibu kufanana some parts of Kileleshwa na Kilimani all the way to Lavington Amboseli, with the rising insecurity Nairobi hadi hizo suburb nimetaja don’t you think afadhali kula minimum wage ya 10 ndorras an Hr?.. GoodWill ni 200times better than shopping at Gikomba ama Toy Market, maringo ya nini? Juzi huyu Ibrahim umepost was gifted an iPhone 14 Pro Max and a 5,000USD cheque by a Kenyan chic he had hosted at his house while she was fresh from landing mayolo, still struggling hajapata kazi, birthday ya Ibra dem alirudisha mkono. Si kila mtu anateseka majuu Ibra hateseki, jamaa anaishia a well furnished house kwa complex solo, drives at least , na anafanya side gigs za apps when he wants.
Casual job hulipa $25+
Rich is relative. Wacha kujifanya tajiri na hauna any. Hata Christmas hakuna Dem atakuvalia mini bila any ndani.
30 mirrions wa me apply green card