Majirani buana

Kwakua tupo ukimbizini, tunahifadhi maneno:D:D:D

[ATTACH=full]176294[/ATTACH][ATTACH=full]176295[/ATTACH]

ndio nini hii

Sijakuelewa mkuu

Hmm! Kaazi kwelikweli…

[ATTACH=full]176334[/ATTACH][ATTACH=full]176335[/ATTACH]

Kwa Raha zake…
Hajamkosea MTU yeyote au vipi?

Picha 2 za kwanza ni copy ya wenyeji toka kwa mnyama huyo hapo picha mbili za chini.

Hahaha…

Copy ya Bugati Veron… made in from garage bubu…

Cc: @Mahondaw

Nimekusoma

Hongera zao sisi hatuna hata copy ya kavitz
:D:D:D