Maji ya chumvi, shait

[ATTACH=full]160057[/ATTACH]
Kuna watu wamekesha hapa, sijui hii section ilirogwa na nani, ningelikua na import nisingeliboeka

rubber ingenuka na sio migurudumu

Kitu kaa hio, jam extends for over 20kms, ukijaribu kuoverlap tunatoa pumzi miguu yote, that has brought discipline over the A109

What’s the drawback here? Why does this always happen?

shida iko wapi chief?Niko nateremka 001

:D:D:Dhii itamalisa watu

Diversion ahead, rd works ahead and the a hole contractor completes 5 metres a month

Sgr inaelekea naivasha na huyo contractor bado yuko hapo tu na walianza kazi wakati moja

Over Christmas tulipita mai mahiu route watu kuoverlap, jam ikashikana, when truckers decided to take care of things barabara ilinyooka in under 20minutes

Including the notorious buses?

Yes, apan tambua Hao meffi

Don’t you mess with us, naona Kiswahili yako imenyooka

kiswahili ni ngumu kweli.

What about sisi watu wa psssssh!

Umesahau weigh bridge na ‘nyambo’ zile za juakali yellow x 10.