Hawa wasee wa Nairobi Water Company waliweka timetable ya ile siku watu watakuwa wanaget maji. Hapa kwa hostel yetu hatujawahi get maji hii mwaka mzima. Kunanuka mbaya. Landlord haonekani
Ita matiangi [ATTACH=full]77546[/ATTACH]
mwaka mzima kumeanza kunuka leo? mwaka mzima umefungiliwa hapo?
Last Friday iliisha nikiwa kwa bafu kabla nijikamue kichwa,weekend nilikuwa nahakikisha nimepitia garden city au TRM naenda choo and am sorted.God bless those who built the malls for once zinasaidia
kijana wa usiu ama ni pau si uko na kashida
Tulikuwa na maji ya underground storage. Ile haikuwa inakuja ni ya Nairobi water
Copy me and stress mingi hutakuwa nazo,human have a way of adjusting to life
kwani mnaishi slums gani?
Aiiii. Water problem, can’t relate.
Hii kali
Naona pia kukiwa na shida ya stima
Dams zikikauka KPLC just increases the price of electricity peasants wanasare
wewe ni Jubilee sycophant, pigia duale
DAM itakauka aje?
Power imekatika na nilikuwa nimehepa job nione movie ,iko shida
same case here though mimi niko on bed rest mwili inasumbua, shida simu inaisha charge pia.
kwani power imeenda nairobi yote? hata huku Gatharaini hakuna
Ngugi wa Thiong’o alisema kizungu ikikulemea utumie lugha ya mama…
If @mukuna has not yet complained, things should still be okay!
Nani ako na number ya matiangi,stima irudishwe na sio tafasali.