Maji maji.

Nachotelea maji, na sisumbui[ATTACH=full]65080[/ATTACH]

@introvert usilete mambo reptilian hapa

Yani hizo toes zimescratch hiyo red oxide yote in one sitting?:eek::eek:

Najua Ume tuck in.

highwaist kwanza

Hehehe. How can u tell from the feet

aki M4, mimi hudhani wewe ni mbirrionaire kumbe wewe ni caretaker wa lodging!

T-shirt ya Guinness

:smiley: :smiley:
birrionaire ulichezanga mpira wa makartasi bare feet ?

Ni material unapenda.Ata vinyasa wewe huvaa za material? kama zile za primo

Am just a peasant bro. Cheza chini

Wacheni wazimu brary Talkists. Wazee rika yangu hawawezani na material ngumu kama jeans. Shenji

Let me introduce you to Levi strauss & co.

Siongei mambo ya reptilian feet or highwaisted trousers… Lakini hiyo floor?

Bro, who are u bro. Are u in that pic

Hizo miguu zinakaa msee anaugua vericose veins. Kimbia kituo.

Hii inahusikaje na sports? Na pure blood kwa nini anachota maji?

Fisked

Young man, you need salvation, chieth

Niwache

Elder, hata kama iko wapi si umeiona. Ama uuze simu , ununue app ya ktalk, ngware. Hii maji ni ya kutengeneza fake juice…hustling bro