Majameni nimeibiwa

Am stuck outside …somebody just entered my hao akaiba na akafunga na kifuli nyingine…hapa ndo mtu hufanya??? Serikali! Saidia!!

:D:D:D:D:D

Pole, but umekunywa nini mzeiya?

you are locked out of your house and the first thing you do is post here?

ibiwa kabisa hama plot uishi kwako.

Nimedhani kweli umeibiwa, eti utafutwe uliko fichwa.

Hebu lipa rent. Ni Haki ya mwenye nyumba.

Am so sober aki i cnt biliv my eyes…wameniosha!!

It

Imagn its so true…nimefika nkawa shockd

Si hekaya for those who think it is…nimeoshwa safi!!!

I am trying to absorb the shock apa ktalk as i find somebody to break the door

Aki stop laughng am devastated.i wish i was drunk…very

Make bloody sure you are in the right plot and standing infront of the right house before uvunje mlango. I suspect umesimama nje ya nyumba ya mtu mwingine na hizo ulevi zako ndio zinakuonyesha

Hehe umefanya nicheke badala nilie…

Kama hujui gender yako unataka tukusaidie aje?

Massive niko sober nimetoka salon n nakuja napata disasater…daaaaa y u guys thnkng am drunk

Am female…ushajua sasa???hehe @introvert gender ndo iyo!!

Wewe tafuta bwana, why do you stay alone ? Pole lakini

Hehehe… Too late.
Uko kwa Gunia Wiki Hii…

Heri uko kwa gunia hakuna mse atakuja kunipora nkt!!!nimecatch yangu al!

This is why u need a man in the house ata mwenye unatafuta si mwanamke …hii mambo ya being single living single ati it rocks itakurock ushangae pole lakini