Majamaa waliibiwa na malaya.. si mpeleke malaya tu lodging


1 Like

Add images

4 Likes

Haikosi walikula hadi mkia … ndio maana hakungoja waamke ata.

2 Likes

:joy::joy: na imagine caretaker alivunja mlango akapata majamaa wamebleki Kwa carpet kama wako ndethe na wamevaa condoms.

2 Likes