Maisha ya mine mbaya

Oya mraiya. Mimi Nina mashida mob sana manze. Niko na low self esteem hata sina mabeste at all. Niko lonely because I am a loner. Pale job pia sina friends. Yaani naeza kaa weekend bila message ama call ya msela any. Najichukia mbaya nafeel niko na kasoro. Ata warembo reh wamelenga ribs zangu. Nifanye nini nipate mabeste. Hadi watu wa ploti wanasema Mimi ni gondi au mchawi juu hawajai ona mtu kwangu

Jirani niaje?

@Hessy Wa Ktalkville kuja ushike chokosh

Start with your language hio wachia watoto Wa year 2000 onwards

How old are you?

Msela. Vipi jirani? Umejuaje Niko huku

:D:D:D:Djirani ulirogwa na nani mse? Writing a single sentence of two words and everybody shout it’s jirani it’s jirani.

mimi nangojea masweep

Nani hupenda lorry za kanjo - pengine ma chokoshi.

Wacheni Jiran

Sare hizo mariba za hessy. Huyo sanse ni matata boss

Kwani majirani wangu wa ploti mmejaa huku na hamunijengi hii mradi

usikonde uko kwa kijiji ya watu and robots .inbox them akina @Ruffneck can give you advise

Hata mi ni jirani lakini ni ukweli … ukona kasoro

Nobody can accomplish you except your self. Learn to love yourself

Safi nguyaz. Manoma ni za wasela wote. Kusaidiana kijanjez tuamke vistrong

First of all jipende.Start going out more often anza na kanisa join those youth groups or man enuff .kama kwenu ni ocha join baraza la wazee toa mbuzi ka mbili hivi utakuwa ukiitwa kakiiva there are so many social groups to chose from sana sana social media na kazi ni kutoa form kama za coast e.t.c acha kulalia maskio take advantage of these opportunities while your still young

Nguyaz ebu nijenge tot moja mbili za advice

Unajua ango nappy seal? Kuta huyo ninja let him introduce you to his muhindi boss na huko utapatana na ule mkambodia wa pipu @vuja de . While at it ufike sj ndo utolewe hako ka umama uko nako. Low self esteem naona pia ikikuangusha.

anzaaa kukunywa fobee utapata ma bestee na maraya… bora ukuwee unawatolea form