Maisha Ya Kenyan Remand Ni Magumu Waziya! Very Very Difficult

Kuna siku tulishikwa past curfew Hours nikalala Nakuru central police station. Choo zilikua in a designated area, asubui tuli serviwa chai na mandazi. Hakukua na mtu ana ku harass. Kenye ilikua ina fanywa regularly ni roll call

Leta hekaya mzima