Niko hapa nikitafuta pesa ya weekend nimetulia bila stress. Kidogo kidogo nikaskia ni kama nadungwa dungwa tumbo kumbe sijadishi leo vizuri. Niko na slices tano tu za butter toast kwa tumbo and that is it.
Hio ndio ubaya ya kufanya kazi online. Mtu hapatangi njaa juu hufanyi kazi ngumu sana na juu ya kusnack ovyo ovyo. Sasa nimeenda kwa fridge kuona kama naweza unda kitu mbio mbio nikapata tu hewa baridi huko ndani. Yaani ata ndengu sijawai boil niziweke huko ndani for a rainy day.
Ni mayai tu imejaa fridge. Mayai ni a bachelors best friend. Imebidi nijijenge na mayai tatu kwa omellet na ugali mzito. Wasee, mabachelor kama mimi, usiwai kosa unga kwa nyumba. Hiyo ni capital crime. Hii inakuwanga instant meal ya nguvu. Unaweza teremsha na turungi bila stress na uende mjengo kukiharibika sana.
Itabidi FWB arudishwe mpangoni. She was a keeper na sikuwai teseka hivi. Fridge iko empty aje…ahhhhh!!!
That is a true young mans life, best think leta mtu keja pole, pole mpaka na kua bibi and nice warm food waiting not kwa fridge but on the table sawa. pole ,pole tuu bro…
The things men do… There’s a guy I know, the only thing he never lacks in his house is alcohol and some soft drinks… If you want to eat you have to go out and buy everything…
I don’t see how you guys survive… I can’t even imagine
there’s a dude i know who will travel two km every evening which includes boarding a matatu to go buy two nyanyas and a banana. and he has an industrial size fridge in his house. totally empty.
Fine females so damn available na kupika ni kazi nguumu. Mrwanda fulani alikuja amebeba unga ya muhogo, na hata sijai notice iyo unga kwa super. Nilikula tu ndio ajazike
Hehehe…mimi niko na Unga ya ngano na ya ugali. Pancakes na ugali ni chakula ya bachelor kama haskii kupika. Pia spaghetti siwezi kosa. Msupa ndiye alikuwa anahakikisha fridge iko na kila kitu. Kwanza maziwa sijawai ona in 3 months.
I am a situational Bachelor, but a good thing learnt to cook early due to a non traditional dad, I teach most of the females in my life how to whip up a good meal in no time, just wash the utensils (a chore I have always detested) and the flavours shall be in your mouth, the aroma from my kitchen, gets her some of the times.