Maisha ya bachelor saa zingine ni stress.

Niko hapa nikitafuta pesa ya weekend nimetulia bila stress. Kidogo kidogo nikaskia ni kama nadungwa dungwa tumbo kumbe sijadishi leo vizuri. Niko na slices tano tu za butter toast kwa tumbo and that is it.

Hio ndio ubaya ya kufanya kazi online. Mtu hapatangi njaa juu hufanyi kazi ngumu sana na juu ya kusnack ovyo ovyo. Sasa nimeenda kwa fridge kuona kama naweza unda kitu mbio mbio nikapata tu hewa baridi huko ndani. Yaani ata ndengu sijawai boil niziweke huko ndani for a rainy day.

Ni mayai tu imejaa fridge. Mayai ni a bachelors best friend. Imebidi nijijenge na mayai tatu kwa omellet na ugali mzito. Wasee, mabachelor kama mimi, usiwai kosa unga kwa nyumba. Hiyo ni capital crime. Hii inakuwanga instant meal ya nguvu. Unaweza teremsha na turungi bila stress na uende mjengo kukiharibika sana.

Itabidi FWB arudishwe mpangoni. She was a keeper na sikuwai teseka hivi. Fridge iko empty aje…ahhhhh!!!

[ATTACH=full]142344[/ATTACH]

That is a true young mans life, best think leta mtu keja pole, pole mpaka na kua bibi and nice warm food waiting not kwa fridge but on the table sawa. pole ,pole tuu bro…

I concur… Mi mostly hukuwa na unga ya ngano. Back up ni mikorogo(pancakes)

Bashera na ngano, how now?

noodles sio mbaya. kwanza na mkate ya blueband

The things men do… There’s a guy I know, the only thing he never lacks in his house is alcohol and some soft drinks… If you want to eat you have to go out and buy everything…
I don’t see how you guys survive… I can’t even imagine

afadhali pasta

600gm bread na peanut butter
+
Coffee
Hakuna kulala

Salt +water+flour------->Supper for Baby Panay.

there’s a dude i know who will travel two km every evening which includes boarding a matatu to go buy two nyanyas and a banana. and he has an industrial size fridge in his house. totally empty.

Sikuwahi onja maisha ya bachelor, story za wanaume huchekesha sana.

papaa, utashiba hako ka-ukali?

Thank God I started a famo young. I don’t miss this life at all. The maid and the wife ensure I’m well fed at all times

Fine females so damn available na kupika ni kazi nguumu. Mrwanda fulani alikuja amebeba unga ya muhogo, na hata sijai notice iyo unga kwa super. Nilikula tu ndio ajazike

Hehehe…mimi niko na Unga ya ngano na ya ugali. Pancakes na ugali ni chakula ya bachelor kama haskii kupika. Pia spaghetti siwezi kosa. Msupa ndiye alikuwa anahakikisha fridge iko na kila kitu. Kwanza maziwa sijawai ona in 3 months.

:D:D:DHii ugali ni mingi…ni venye inakaa ndogo kwa picha…

Can’t relate

Kama hiyo ni fork umedungilia ndani ya hiyo sembe ati hukuli na mkono, ujue wewe ni Shaniqua.

I am a situational Bachelor, but a good thing learnt to cook early due to a non traditional dad, I teach most of the females in my life how to whip up a good meal in no time, just wash the utensils (a chore I have always detested) and the flavours shall be in your mouth, the aroma from my kitchen, gets her some of the times.

[ATTACH=full]142370[/ATTACH]