Nimetoka shop kushika ngale mbili zangu za sikua… Nimepigwa na butwa butu butu Sportsman imepanda bei??? Kitu inatoka 7 badala ya 5 tulikua tumezoea!!!:mad::mad:
Kweli pia excise duty pia kunayo kwa sigara??
Jubilee must go!! HATUTASIMAMA MAOVU YA KITAWALA!!
embassy should be 145/- a difference of 5/- only…that’s what i’ve bought in a super…before going to the super a street vendor had told me 200 nikamwambia aache upussy…
huwa naacha halafu narudia stress ikizidi…starting smoking was one of the worst decisions of my life but then 90 per cent of young men where i grew up smoked after the cut…