Hizi matrucks hukua fugly sana.chances ya kuchapa engine ni high sana.gava thru kebs n other agencies r investigating after numerous complaints.go for isuzu n then take it to choda if u r in need of stress n ulcers
Load capacity ya Hino ni 5 tons, ukijaribu kuibebesha 10 tons utaona moto sana. Secondly, fanya research ujue how you should take care of the vehicle.
T
toyota shud stick to these personal cars that they only change the body
I will be looking for a second hand truck ya kubeba construction material towards end of the year, any leads?
Hino gani 300 or 500. Hapo si kweli
Why Isuzu and not Mitsubishi?
@upepo ama wacha tu. You gave a more sober opinion on this thread.
www.kenyatalk.com/index.php?threads/hino-trucks.28312/page-4#post-564857
Nimecheki umeisoma
bedford j6
Ukiweza pata isuzu TX wewe umeangukia lorry itaskuma generation tatu bila stress.
Hizo gari wanauza bei mbaya
unataka moja?,iko na shida ya diff
Niliona moja inauzua 1M+
Na TATA je? nimekua nikiona mob
Worst mistake ever.
Unless for the duration of one project then ditch.
who said hino is toyota
Tutumie Google tujitegemee