MAHARI

[ATTACH=full]103160[/ATTACH] Nimefuatilia sana hii mijadala ya usawa wa jinsia. Nimeona wanawake wakipinga vikali mila na desturi zote zinazo wadunisha kimaisha kama wanadamu na kuwafanya waonekane kama “vyombo” au “raslimali”.

Lakini hii desturi moja naona ikiepukwa na wanaharakati hawa, ulipaji wa Mahari. Japo mwanamke anataka aheshimiwe, asaidiwe kazi za nyumba sawia, awe na usemi wa maamuzi sawa na mume nyumbani na kadhalika… Huyu mwanamke bado anafurahia na kuona ni jambo la sawa kununuliwa kwa Pesa au Mali.!!

Nilipohoji wengi wanasema mahari ni shukrani… Je kama kweli mume na mke wako sawa, mbona ni mume pekee atoae shukrani wakati wa ndoa.?

Sijui maoni yenu yapi kwa swala hili?
(Samahani kwa kiswahili).
[ATTACH]103160[/ATTACH]

Nani ndio alikuwa last kushika electron microscope?

Tunahitaji hapa

Usiombe msamaha kwa kutumia mojawapo ya lugha zetu. Mimi sijafahamu kwa nini wazee wa jadi wakaamua mume awe akimpa mzazi wa mke kiinuamgongo. Pengine ni kwa sababu waume ndio walikuwa wenye mali.

Wewe maoni yako kuhusu mila na desturi ambazo, kwanza zinadunisha au kushusha hadhi ya mwanamke, na pili ambazo zinaonyesha tu ile desturi ya kiafrika ni yapi, na waweza toa mifano? Sasa kuanzia hapo ndipo utakapotofautisha kati ya mila au desturi ambazo zinawatenga wanawake na kufanya waonekane kama vyombo tu, na ile inayoonyesha heshima, makubaliano na kadhalika…

Lakini ukienda India unakuta wanawake ndio hutoa mahari. Mila ni tofauti… Hata unajiuliza ilikuwa aje wanawake watoe mahari?

Mahari itolewe… Our traditions are paramount

mahari hudaiwa na wazazikivyao, sio na msichana. acha wazazi wale matunda ya kazi yao. mamako pia aliripiwa mahalo.

Well…
Kama huo ndio msimamo kuwa mila zifuatwe bila swali basi ni mengi twakosea…

Mwanamke wa kileo ukimuita jiko asema umemdunisha. Maana desturi ya waafrika wengi ni kuwa mke ni jiko. Mtazamo wao wa kubainisha kuwa yeye adunishwa akiitwa jiko wagongana na mtazamo wa yeye kukubali na kusema aheshimiwa akilipiwa mahari.
Inaonekana desturi inayoonekana kumpendelea mke na kumdhulumu mume ni sawa ilhali inayoonekana kumpa majukumu mke ni ugandamizaji.

Mfano mwafaka,
Mke akiambiwa akae nyumbani ashuhulike na majukumu ya nyumbani mume ataleta mahitaji asema agandamizwa. Ilihali mume akisema atakaa nyumbani afanye hizo shuhuli mke alete mahitaji aitwa “bwege”.

Mimi maoni yangu kuhusu swala la mahari katika muundo msingi huu mpya wa kijamii limepitwa na wakati.

Mume alitoa mahari kama shukrani kwa “utunzaji” wa mke mtarajiwa. Siku hizi watolea “mtaro” mahari kisha anavyokosa haya ataka Leo akiingia jikoni kesho wewe. Zawadi kubwa aliyopata mume kutoka kwa mke wakati wa mamazangu na nyanyazangu ilikuwa ni “usichana” wa mkewe. Hii ilichangia pakubwa kuboresha maadili ya kijamii.

Leo hii swala la mahari ni dhuluma dhidhi ya Mwanamume. Kupendekeza tu, kama kweli tu sawa basi tuwajibike sawa katika kila nyanja.

Je wazazi wangu hawana haki ya kufurahia matunda ya kazi yao? Basi sahihi ni mke atoe mahari pia kwa wazazi wa mume. Zamani ukioa mke umeongeza “mwanamke” kwa watu wenu anakuwa wenu… :slight_smile:

:D:D Hawa wetu pia wafaa waanze kutoa mahari ndio wajue uchungu wa mume.

Mbele yenyu ni Chief kutoka shule ya msingi ya Ktalk, naniko hapa kuunga huu mjadala unaosema"Mume pia atolewe mahari" asanteni !

Na wazazi wa mwanaume hawafai kula matunda ya kazi yao? Hakuna logic hapo.

Kwanza, wazazi wa mke wanafaa wamlipe son in law kwa sababu, mara nyingi anaubeba mzigo wao.

hawa madem wako sawa…double threshold hapa

Malipo ni kuletewa binti mpya nyumbani awasaidiange. na usiniletee uzungu mwingi hapa kwa kusema mke ni msaidizi wa wazazi, hii ni kulingana na uafrica. Waakula ya dada yako pia akiolewa.

Sitegemei kula mahari ya dadangu akiolewa, najimudu kibinafsi.

wee, hiyo sio yako, nimesema wazazi wako. mwacha mila ni mtumwa. mahari ilipwe, lakini isiwekwe kama mauzo. hata kama ni mbuzi tatu, kusema kweli sidhani unaweza kosa mbuzi tatu ya kuwatunukia, mila idumu. mahari ya mbuzi tatu ikikuuma hakikisha sio siku umemfikishia bibi threshhold three times machungu yaishe.

Huo ni mtazamo wa ugandamizaji wa fikra na utumwa wa mawazo na mwelekeo kwa waume. Je? Hamuoni muundo msingi wa jamii umebadilika, na wanawake wamechoka?

Ni vyema na sahihi kuwa wapewe wanacholilia… “Usawa”. Hakuna haja ya kudhulumu nafsi sababu ya mila zilowekwa ili kumnufaisha na kumkweza mke kama kiumbe bora. Bora sasa tuwaweke sawa kwa kila jambo. Hata lungula… Nikiwa juu shoti tatu apande juu azungushe kiuno shoti tatu pia.

Elewa si uchungu wa Pesa ila unyanyasaji wa jinsia ya kiume unavyonyemelea jamii kwa kasi. Je wajua ukifunga ndoa ushakubali kuwa mtumwa wa mwanamke na hio ndoa inaongozwa na sheria za nchi? Tazama sheria zilizo pitishwa nyingi za kijamii chini ya swala la “kumlinda mwanamke” kwa kumkandamiza mume.

:slight_smile: …kuma huiadhibu kwa kuitomba. Na si vyema kumuadhibu mke kwa uchungu wa mahari uliokubali mwenyewe kulipa. Tena zaidi ni kipi hicho walipia mahari? Mtaro?

:slight_smile: Tumia msemo huu kwa mwanamke wa kileo ukiangazia kazi za nyumba hususan jikoni… Alafu lete jawabu kijijini. :smiley:

Mahali lazima itolewe…Baraka itoke kwa wazazi na mamilion ya pasa !