Since jana i have been trying to log in with chrome with no success, imebidi nijaribu na browser ya phone ndio ikakubali, WHAT IS? :mad:o_O[ATTACH=full]49230[/ATTACH]
Clear cache or history.
Bado shida ni ile ile
wachana na google chrome browser , download opera mini and u r good to browse, thank me later.
Mazoea yana tabu, nimezoea chrome
Bado shida ni ile ile
Ata SAA hii bado chrome haifungui… Someone solve this ASAP
Equinox Syndrome.
go to about:flags and mess around with the user agent settings, this normally solves most of the problems (sometimes all it takes is changing the user agent to use a desktop agent version)
just be careful what you change
opera ni ya peasants
Ati?
Mess around? Apana boss
maybe you have made another browser you default browsing program
Chrome ndio me hutumia ever since, hii browser ingine stock ya simu ndio nimeanza kutumia leo
I have like 4 browsers…opera Mini,Naked Browser,Chrome,Opera Browser, Mozilla Firefox, na UC browser.Moja ikisumbua natumia ingine.
Maybe ni ile story ya cable repair
Fafanua
Kulikua na thread jana ety kuanzia leo internet connection inaeza kua down
Hii shida ni hii site pekee, zingine ziko fiti
Pia yangu inaleta shida. Imebidi I revert to using the famous peasant browser (Opera Mini)
Chrome still giving problems. Lakini incognito infanya kazi. @admin what is?