Magufuli wewe ni dikteta why you hate social media??

Tuna rais wa ajabu mnoo
*uchumi zero

*jamii zero angalia viongozi wa dini anavyowasakama

*ufisadi uko pale pale 1.5 trilioni

*Uchumi umeporomoka mno

*Yaani hamna kitu huyu dikteta anachofanya

*Anachukia sana uhuru, demokrasia na vyombo vya habari

Huyu ndiye kiongozi tuliyenaye
dikteta uchwara

Mvumilivu hula mbivu…

Cc: @Mahondaw

Hakujiandaa kuwa Rais, alisukumiziwa

Haya yote anayoyafanya miongoni mwa wale wanaomkosoa ni uoga wake uliojaa hofu kubwa mno

Akiendele hivi, atakichuma anachokipanda

ntakua wa mwisho kuamini kuwa wewe ni lizaboni

Niliwahi kusikia sehemu kuwa Lizaboni ni Ally Hapi

Real? Wakati utafika.

haha ipo siku tutafahamu yaliyojificha

Huu sio uandishi wa @Lizaboni huyu ni copycat flani asiyejitambua.

Nimekuelewa mkuu
Nalog off

Dikteta uchwara

Ana dalili zote za kuwa ni yeye

Kama wewe ni Lizaboni basi muda utaongea