Magufuli na ccm someni hapa: Madhara ya kuamini kuwa propaganda inafanya kazi wakati wote

Msemo wa “Tanzania ya Viwanda” unapendeza sana masikioni. Ila unanikumbusha sana ule msemo mwingine maarufu wa “Kilimo Kwanza.”