Yesterday EA leaders held a serious video conference regarding covid and other issues. Magufuli was invited but he snubbed the meeting.
EA leaders have taken precautions and contained the problem
Megafool has put his faith on herbs and witchcraft . the EA leaders have discovered most infections are coming from Tanzania especially truck drivers . we know with our porous borders wasee wanabinjana tu crossborder.
What do we do with the guy who has been frustrating the EA nationalism dream for years and especially this epidemic time?
We as East African countries close the borders completely with Tanzania wa operate kivyao with some useless southern African countries sioni loss yeyote Mombasa and lamu ports can serve Uganda, South Sudan, Rwanda, Burundi ,DRC perfectly. Lappset pia na SGR zitaendelea mbele.
Wenye wako na ujinga ni the rest of the presidents coz when they realize one of them is not for what they stand for,why not lock him out of their agenda.
We need TZ but siku za kubembelezana ziliisha.
Magufuli yupo sawa sana kwanza njia aliotumia kupambana na corona ni tofauti na hao wengine hivyo ni ngumu kupanga mikakati nao. Cha pili kwenye suala la mikopo yeye alishaweka wazi kama IMF au WB wako na nia njema ya kuzisaidia nchi zetu basi wafute mikopo inayoendelea ili kutumia riba ya sasa kukabiliana na gonjwa hili. Viongozi wote waliokaa jana hakuna hata moja mwenye fikra anuia kama hiyo. Pia kwenye suala la udhibiti wa vifaa hilo ni suala la kutupia macho kwani huwezi kutoa taarifa muhimu za afya za raia kama vifaa sio madhubuti. Binafsi nimeona ni sahihi sana kwa hatua alizochukua kwa manufaa ya uchumi wa taifa
I think ni background issues,he comes from a peasantry background. Number two English being the language of communication in the conference he will definalty feel sidelined, not that I advocate for English lakini.
Ninyi wakenya mna matatizo mengi mwadhani kuzungumza kiingereza ndiokipimo cha fikra. Tangu awali Magufuli amekua wazi na mipango yake katika kupambana na corona. Uoni wenu hafifu ndio kitu kinachofanya ninyi na sisi kupingana. Magufuli amekua mzalendo sana kwenye hili suala maana kama angekua na uroho wa fedha dhalimu kama viongozi wenu basi angesha kopa na kufanya matumizi ya kipuuzi kama waliofanya viongozi wenu kununua chai na mikate kwa maelfu ya dola. Rushwa na ubinafsi vinawatafuna sana bahati mbaya hamjatambua kama mnatumika na wazungu