Sasa ni miaka karibu minne toka mahakama itoe amri ya kukamata mali za ATCL ili kuzinadi na kuwalipa wastaafu ATCL madai yao ya PPF ambazo walichangia kwa mujibu wa sheria na kanuni za utumishi hakuna mali iliyokamatwa wala malipo kufanyika. Wizara inayo husika na Uchukuzi ili fanya kikao na uwongozi wa PPF na kuahidi kulipa kitu ambacho hakija fanyika hadi leo. Cha ajabu ni kuwa raisi anasema wamelipa na akisisitiziwa na msemaji mkuu wa serikali lakini PPF wanasema walicholipwa ni marejesho ya mkopo wa serikali yenyewe na si kwa ajili ya wastaafu wa. Mheshimiwa raisi waonee huruma hawa wazee muwalipe maana wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano pamoja na wizara ya fedha inawapiga dana dana Hadi muda hao baadhi yao si chini ya watano wamesha fariki. Chonde raisi watendee haki hawa wastaafu ili ATCL iwe na baraka zao.
Maskini…
Jiwe yuko busy na SGR, Stiegler’s gorge na ndege kwanza!
Duh!
Zile mbwembwe za gawio zilikiwa danganya toto sio.
Kanunua ndege hela zimeisha
Hivi hii link JF Maxenzo Mello ataikubali kuiweka kwake? sidhani
Halafu kuna watu wanaamini huyu jiwe ni rais wa wanyonge!
Na akiiweka nitawaonyesha ng’ombe mwenye miguu mitano!
Sijui Mkuu lakini Maxence katetea uhuru wa habari nchi hadi kukubali kuwekwa ndani kwa wiki mbili, tatizo ni baadhi ya MODS ambao wamejipa madaraka makubwa kuliko inavyostahili na si ajabu hawa ni wa mtaa wa Lumumba.
Aisee! Kuna vitu vinatia hasira kweli ila basi tu.
Kajisemea @Sky Eclat nchi inaendeshwa na wahutu waswaga ng’ombe. Na Zitto akasema nchi imekabidhiwa kwa washamba. Sasa kuswaga ng’ombe na kuongoza nchi wapi na wapi!!! Watanzania si ng’ombe kama haturidhiki na muelekeo wa nchi ni lazima tuseme ni lazima tukosoe tena hadharani ni haki yetu ya kikatiba hutaki rudi ukaswage ng’ombe au UTAPATA TABU SANA.
Dictators are like that
We don’t care any more we now speak out. Hivi Julius Mtatiro amefikia wapi? Huwezi kuongoza nchi kwa kutisha watu kuongea ukweli.
Anatupeleka kama wanae nyumbani kwake
Inashangaza nae Waziri Mkuu anajinadi kuwa serikali imelipa madeni shilingi billioni 43. Malipo haya ni toka mwaka jana yeye baado anahadaa wananchi kama vile yamelipwa jana. Mbona hayo yaliyo hakikiwa ya shilingi bilioni 127 hawalipi. Bank kuu ikitoa pesa wizara ya fedha mkuu kabisa anasema zirudishwe bank ili zionekane zimelipwa ili hali zita tumika kwengine na sio kulipa madeni. Hali kama hii inawaumiza wastaafu, wazabuni, na watumishi mwisho wa yote ni kuchukia uwongozi na kukosa imani na serikali. Viongozi wakuu wawe na dira na uwazi na ukweli kwa wananchi. Woga utaendelea kuwafanya watukaniwe shangazi zao na waendelee kupokea matusi wakiendekeza kubaki kazini. DAWA YA DENI KULIPA. WALIPENI WASTAAFU ATCL MADAI YAO YA PPF. HADAA ZA TUMELIPA TUMELIPA TUMELIPA TUMECHOKA NAZO.
Hapangiwi… pesa zipo ila siyo za kuanyia mambo kama hayo…
Cc: @Mahondaw