Expect political fayawaks Wadau.
[MEDIA=facebook]id=585226670286218;type=video;user=nation[/MEDIA]
Expect political fayawaks Wadau.
[MEDIA=facebook]id=585226670286218;type=video;user=nation[/MEDIA]
Niko hapa kichaka chini ya miti na mbuzi zangu mdau … nitumie popcorn
Ni zako ama umeiba mahali?
Na matiangui ako
Na ivyo tu ndo unajipatanga bila meno … sticking ur nose where it doesn’t belong. Stick to the issue … popcorn iko ama hakuna.
Sawa mdau. Popkons ziko njiani
Umevaa leso na viatu ya tyre (akala)? Na kale kakofia kenu? Na Ak47?
Hapo sasa … niko on my element.
Gaza nataka tuanze biachara ya kuleta mbuzi Dagoretti. Inawezekana?
Nataka pia AK 47 moja , ni how much mgau.
Sioni Nabii1, Rickigi na Fat thiangi
Hii upuzi yote bonobo hukuwa nayo…unawezathani watafufua mwili…pure upuzi
I also need some ya kuwatch nayo game ya kesho.
Niko na pickups kadhaa zinakimbiza nyama town daily mdau …
AK 47 … hapana toy kijana. Soma kwanza … ukianguka utakutana nayo ukiwa D- na utajipata Kapedo regretting why the fuck … u fucked up at school.
Hio ni disiyai itakushika ujipate Kamiti.
[ATTACH=full]495246[/ATTACH]
Its legit meat imepigwa stamp mdau … all paperwork is up-to-date too.
How much per kilo ikifika NBO?
Mdau I hear that’s the toy you buy for teenage boys , sisi hapa tukinunuliea baiskeli , nyinyi ni kalasknov. Hapa kwetu mungiki Wana sumbua I need that walking stick. The day they dare knock on my door . They regret actually why they even were born.