Maghrib Sacco ...

Niko juu ya miraa, nachana
Jua lazama inami face
Udogo wangu na umaskini wangu waniepusha mengi makuu
Email za job zinaflow tu. Eti systems down mahali. Kesho Meru twasija. @webdev kila kitu juu yangu hata big G

Ni maghrib.

Mshukuru mola kwa sujud ya 630

Sina kosa na mtu

[ATTACH=full]54613[/ATTACH]

Hata kulala atalala juu yako?

Usijitafutie kosa kwangu

Ustadh, wacha tungoje asr

Kesho?

ALFAJIRI kesho lakini sai ni isha

Ulikuwa umeamka Asr which us 4pm n it had passed. What u meant is fajr