Mafundi wengine jooh

Av had an encounter with fake fundis.jamaa anajidai yeye anajua kumbe ni mtu wa mkono.Ile blunder utapata jioni joh.But here is is the worst mistake.In the rainy season this guy suffers.If only the foundation was raised much higher.[ATTACH=full]179173[/ATTACH][ATTACH=full]179174[/ATTACH]

alichezwa

Hii ni kennel ama nyumba ya mbilikimo.

[SIZE=1]kiulisio tu…kuna kennel za kuku?[/SIZE]:wink:

Lol! Wacha nirekebishe

Wth? Looks like they build the house on a sloping site .

and then?

Kabla iishe mwenyewe hakuona kasoro.Sijui kati ya yeye na fundi nani atakuwa blamed

Wow.

That house is perfect. In fact whoever put that house together is exceptional. It is the ground it is built on that is shitty. If it were done badly, by now there would be huge cracks everywhere.

  1. “If a poorly built house were to collapse and kill its owner, then the builder could be put to death. If the house collapsed on the owner’s son, then the builder’s son should be put to death.”

-Hammurabi’s Code (Laws)

How is that even a house?
Where are the windows, where’s the ventilation.
It’s built like a horse stable.

Hii ndio ubaya ya kuchukuwa short cuts.

wewe unasema nini? Hio nyumba hata ukiaangalia hivi ni ugly. Inakaa shule. Cheki ma neighbors hapo nyuma na side. And by ground it’s built on do you mean foundation? Yes foundation mbaya maisha mbaya.

Na huoni hizo mould za white kule zimefika. Meaning even the slightest of cracks inaingiza maji. Na tumeambiwa inaingiza maji. Na huko ndani haikosi ma plaster zimefura fura and just flaking off. Hata pale juu vile mabati zinafaa zikutane kuna kasoro flani.

Nimeona shepart kwa nyumba ya kuku na vice versa.sijui ni kiburi za either mnyama ama ni mchezo

Foundation zingine lazima ufanye excavation ya 10 meters au zaidi ufikie subsoil. Na ni expe. Budget ya mwenyewe ndiyo huchangia.Ukinunua plot kwa landfill utachimba shimo deep karibu ulipue magma na bado huoni subsoil. Pole. Jenga nyumba kulingana na budget, lakini kama hujanunua dirisha, usiambie fundi akununulie.

Hii nyumba mbona ikaa nikama ilipandwa kama mbegu? Looks like its growing out from the ground. It will be a 3 storey next year:D:D:D:D:D:D

wueh!! Sawa fundi mangungu:D:D:D naona wewe ni mjenzi mkuu.will inbox you soon for insight on man cave

wacha nikuimbie siri ,the best mafundis ni wale wamepata onsite training,lakini hii imejengwa na akina randy na jeshi yake

[ATTACH=full]179201[/ATTACH]

Don’t defend mediocrity. Huyo fundi hajui kitu anafanya and it has nothing to do with building materials.