Madharau ya mbirrioneas

A few years ago my favorite drinking joint was ‘summarys club’ hapa ngara karibu na police sacco, kikuyus call it “samare”. When i was broke ningekula mtura hapo pendoni butchery(it was a good hunting ground for college chikitas, they love mtura) then naanza kukunywa jug daniels in a small ka club called ‘stone cold pub’. When loaded narudi samare.
It happened one day miss alitaka greens so she sent me. When i was buying potatoes, kuna jamaa alikuja na mkokoteni, a brown slim guy, a bit tall and very sweaty, his aid was a short black nigga.
Tall guy bent a little and the heavy sack of potatoes was put on his beck, the very long gunias. Pahali imeshonwa na sisal ndio alishika with both hands above his head.
Kuna jamaa mnono besides who was watching in amazement, he was buying minji and flashing car keys. He told the cart guy “atumia anyu mehinya, you mean mwiri ucio uguthie gukomera mudu” (ongeza kamshangao ka madharau ndani). To those who don’t understand French " your wives are very strong, you mean you are going to ‘sleep’ on top a persons at night with that body of yours?". Nilianza kucheka peke yangu. Prolly’ the ‘reach’ guy was imagining his wife being pumped by the cart guy.

Very proud guys

Hata bibi pengine ni mtu ws mkoko pia.

I doubt…

Flat!!!

Stone cold used to be base ya Abbas Kubaff.Ama ni wewe?

Stonecold siku hizi ni KaPub ka kawaida bila Keg…Kanauzwa na momo inatoshana yokozuna…ii ilikuwa Dec

Ai… Apana…

Kitambo huko 2010 it was a good joint before mututho laws… At least now we are communicating if at all you know “stone cold”…

Io sekta nimekunywa sana kutoka FIG TREE kupanda hako ka streets ka akina shadows…

Fig tree nilikuwa tu na pigwa shave… They used to overprice beer, nyamchom ndio ilikua poa, especially hiyo bar iko kwa main entrance

Napitanga hio club ya stone cold kila siku lakini siku hizi wanauzanga maziwa. Summarays bado iko

Ni Summer Rays,maybe the name changed. Hapo Castle Milk Stout tulikunywa kweli back in 02/03.
Plus Red Carpet opp Fig Tree

used to play in those neck of woods nikiwa visions 09

Ntangalia vizuri nikipita hapo, rangi ni ile ya purple ama wamebadilisha?

Wamebadilisha rangi

Nimeona hio base,but before iitwe red carpet it was called kijiji bar and restaurant… Kweli wewe ni fossil

a
Asande mkubwa for the correction. Yes its summer rays. Parking ilikua balaa on weekends

H

huwaunapita sa ngapi? … Mimi nilikuwa napita huko soko ndani about 6:40am every day,four years ago

Ulikuwa unakula lunch wapi.? … If ni kwa ngara ndani maybe we’ve met during those days