Madeni

Ukijipata unakopa kulipa mkopo , you must be doing really bad. Hapo something must be wrong.

Sawa

Ukitaka kujua mkenya mashida shida, angalia phone yake. Ukiona three or more mobile loan apps, ujue hiyo ghaseer inafanya juggling act ingine wazimu. Kukopa Tala kulipa Mshwari, alafu anakopa Mshwari kulipa KCB Mpesa, alafu anachukua KCB analipa Timiza, and so on. Unapata monthly interest rates zimepita ata rent yake.

Si Uhuru alichukua Eurobond to pay sijui what loan.
It’s nothing new.

Kuna wakati hizi mashetani za mobile loan apps zilikuwa zimeniweza and I had like four of them at a go. Vile zilianza kuniweka CRB nilikasirika nikatafuta pesa nikalipa zote and I uninstalled all of them forever.

The shit had me locked up in CRB na sioni nikitoka huko karibuni. I’m happy there,

Wueh, iyo debt slavery is the worst form of slavery ever

you can say that again ma nigga, hata mimi nilijitoa na sijawahi angalia nyuma tena, sometimes when i allow somebody to use my phone hushangaa coz sina any mobile lending app kwa phone yangu :cool:

Actually that is the spirit required in escaping the debt trap. Sasa anza kulipa thao kila wiki mpaka iishe.

@cortedivoire na @Sokwe mtu mtajitetea mkiwa kibande gani vile hakuna betting? :D:D