Made in Tanzania products

Sisi huwa tunaongea na kuzungumza kiswahili. Kama kuna mmoja wenu hajui kiswahili kama kawaida yenu kujifanya watoto wa malkia Elizabeth; anaweza akatafuta kamusi ajifunze lugha adhimu ya kiswahili.

Ndugu wana KT kwa furaha sana, hii leo ninapenda kuwaletea baadhi ya bidhaa zinazozalishwa nchini Tanzania. Nchi ya Tanzania kwa sasa inajitegemea kwenye chakula kwa 100%.

Sasa naanza kama ifuatavyo:-
[ATTACH=full]361384[/ATTACH][ATTACH=full]361385[/ATTACH][ATTACH=full]361386[/ATTACH]

Upande wa maziwa tumejitosheleza AKA tupo vizuri.
[ATTACH=full]361387[/ATTACH][ATTACH=full]361388[/ATTACH][ATTACH=full]361389[/ATTACH]

Tanzania ipo na mikoa 31. 70% ya kila mkoa wanazalisha maziwa. Maziwa haya yanauzwa ndani ya Tanzania, Burundi, Rwanda na nchi za SADC.
Soko letu ni kubwa mno. [ATTACH=full]361390[/ATTACH][ATTACH=full]361391[/ATTACH][ATTACH=full]361392[/ATTACH]

Siyo kwamba ninataka kuwakera. Bali nawaonesha hatua Afrika inazopiga. Acheni propaganda za kitoto. You are grown up now.
[ATTACH=full]361393[/ATTACH][ATTACH=full]361394[/ATTACH][ATTACH=full]361395[/ATTACH][ATTACH=full]361396[/ATTACH]

Tanzania ni nchi inayolindwa na Mungu. Usishindane na aliyebarikiwa.
[ATTACH=full]361397[/ATTACH][ATTACH=full]361398[/ATTACH][ATTACH=full]361399[/ATTACH]

Tanzania[ATTACH=full]361400[/ATTACH][ATTACH=full]361401[/ATTACH][ATTACH=full]361402[/ATTACH][ATTACH=full]361403[/ATTACH]

This is Tanzania.
[ATTACH=full]361404[/ATTACH][ATTACH=full]361405[/ATTACH][ATTACH=full]361406[/ATTACH]

Tanzania ni ya moto sana.
[ATTACH=full]361407[/ATTACH][ATTACH=full]361408[/ATTACH][ATTACH=full]361409[/ATTACH][ATTACH=full]361410[/ATTACH]

Mko na inferiority complex

Tanzania, hasira weka pembeni.
[ATTACH=full]361411[/ATTACH][ATTACH=full]361412[/ATTACH][ATTACH=full]361413[/ATTACH][ATTACH=full]361414[/ATTACH][ATTACH=full]361415[/ATTACH]

According to you. Do you think we think about anyone!? :smiley:

tena branding yenu ma shaa ALLAH

Yes …you’re on dick measuring marathon with Kenya. Just focus on yourselves and you will be fine …

Enjoy the show. :D:D:D
[ATTACH=full]361416[/ATTACH][ATTACH=full]361417[/ATTACH][ATTACH=full]361418[/ATTACH]

That is your childish mentality
Proverb 23:7
For as he thinks in his heart, so is he.
“Eat and drink!” (A)he says to you,
But his heart is not with you.

Made in Tanzania
[ATTACH=full]361419[/ATTACH][ATTACH=full]361420[/ATTACH][ATTACH=full]361421[/ATTACH][ATTACH=full]361422[/ATTACH]

Pride of Tanga Tanzania
[ATTACH=full]361423[/ATTACH][ATTACH=full]361424[/ATTACH][ATTACH=full]361425[/ATTACH]

Kwanza kiswahili chimbuko lake ni lamu kenya tuliza mshono. Pili maziwa ni vitu vya kawaida sana tuongelee AI, smart cities, trams, advanced weapons nakadhalika.

:D:D:D Ndivyo mlivyodangwanya na mama Ngina!?
Unazijua lahaja za kiswahili wewe!?

:D:D:D…Enyewe mko na upungufu akili you are gloating about packaging milk and other food stuff. The mediocrity is unbecoming.