Madaraka Day 2019

Narok now is a haven of activities. Mpaka slices zimepanda bei[ATTACH=full]240701[/ATTACH][ATTACH=full]240701[/ATTACH]

…hiyo valley town ni kadogo lakini heppy yenye huwa uko…wacha tu.Kwa wale mnadunda uko heppi iko club laleiyo,mahogany,crystalz,…na maasai wote wamedunda town leo so overnyt yote leo na kesho mji ni raha.
Pia kwa akina @mastermwenyewe kuna place flani nyuma ya town opposite ODM market,inaitwa 3in1 butchery…mbele ni butchery but nyuma kuna kamlango kanaingia a dingy keg pub…then nyuma ya hiyo pub ndio kichinjio iko…wakisii na wakao huko wanauza hadi na wholesale

Hizi picha kwani ulikuwa juu ya gari

ako kwa bus, kwani huoni sticcker ya insurance hapo

naye amewasili.

naskia mtama iliiva,lanye zimetoka from coast na uganda,hadi maslaykuin wanatembeza hizo sides.Wale watu wakuuliza “wapi nitapata lodging cheap pale narok?”…tafuta manyatta ol kejuado aiseh,Narok town ni ya mbirrioneas saa hii