Machupaa!! /Cartier Sunglasses

@Jaymoh,wee ndio uko Dubai, hizi Machupaa ni maorigi [ATTACH=full]103319[/ATTACH] kweli?

Wakubwa, hebu chekini hizi na mniambie kama nikuingizwa [ATTACH=full]103319[/ATTACH] naingizwa ama ndio nimeangukia.[ATTACH=full]103312[/ATTACH][ATTACH=full]103313[/ATTACH]

Thanks@Admin&co.for the Madaraka Day wishes!.
Mungu ibariki ktalk Family! [ATTACH=full]103322[/ATTACH] [ATTACH=full]103322[/ATTACH] [ATTACH=full]103323[/ATTACH] [ATTACH=full]103315[/ATTACH]

How much bro?

Unauziwa na how much?

Ziko poa the worst thing ni kutuma mtu akununulie since kwa duka they give you a choice of the original and fake depending on your picket. Kwanza iPhone ziko copied sana and mtu hajakaa na simu sana anaweza angukiwa

Wacha ajibu ame nunua how much ndio tujue mbivu na mbichi.

Jamaa anataka 7k

Ndio maana najiuliza unisaidie. Sitaki kugongwa…

7k on sunglasses. Leta mia tano ninunue unga

Nimekuja mnisaidie*

Nb@Deorro,kwani ulitoa edit button?

Wanasemaga nini hapa?

Stick to your lane

Mimi nipate 5k nikultee kama hiyo.
And don’t dare ask if it’s original…angalia prices za original hapa
https://www.amazon.com/cartier-sunglasses-men/s?ie=UTF8&page=1&rh=i%3Aaps%2Ck%3Acartier%20sunglasses%20for%20men

2 Likes

Nimemwambia 1000…kama hataki anaweza potea

Ahsanteni

Fake packaging

Hio meza ni TBT. when iwas little we had such in shagz