Machakos rd trip

Travelling to Machakos this weekend need to know the most affordable accomodation and the best spots for a night out.

Na si umepangia weekend mapema sana

4 Likes

U can’t wait? U forgot to ask us about bei ya mapoko. Uliza tu, ufisi wako tunauonea 18.

2 Likes

Planning a get away with friends who cant do last minute plans hence the need to know well in advance

Mayn Leo Ni Monday na already Uko na plans za weekend

@kingsolomonn2016 = @Nefertities

Bitch Please???..

weka picha ya huyo mpango wa kando kwanza ndio tuone kama tutakusaidia

1 Like

I take it no one knows. Its a simple question.

A mere 50kms ni roadtrip kweli ama unatoka lodwar

13 Likes

Kuja pole pole boss, usaidiwe.

mkamba singo madha wa @FieldMarshal CouchP atakusaidia

cc @kingolonde

Enda Hornbill

1 Like

machakos and back @Gio anaenda na cheki maneno anakuywa whiskey na anapikia madam x aged beef na akamue ktalk threshhold ya 7shots na hasumbui

9 Likes

NANI AMEKUULIZA ?

Hehe good laughter after a long day

Enda kazozweni day and night club

1 Like

nyairofi to masaku 46 km,road trip ni wewe! njoo tunywe skylink,after kanyama pale buddies, na game pale katubas

1 Like

BUKUSU UNAJUA KUNA BRANCH YA KWFT IMEFUNGULIWA ELWAK ??

ELWAK SIWES HATA NA DAWAAA