Mabeshte

Ushawahi kuwa na beshte yako but anaku-cock block bila kujua. Unasaka madame unawaleta kwa meza, wakicheki boiz wako akitafuna mogoka kama mbuzi wanachorea tu. Huyu msee sitakam na yeye tena kuuwa nyoka. Bad image. Slay queen wakiona mogoka kwa meza ni blunder major:eek::eek:

3 Likes

@mtura ndom Unasema nini ¿

1 Like

His friend is chewing khat and this makes girls avoid them inda club. That’s what I understood.

1 Like

Exactly. Mpaka natoa ma-slayqueen upper floor, wakifika kwa meza wakipata jamaa akichew wanachorea

1 Like

???Warayuseyin

Wanajua Mogoka ni fyam.
Hapo wakitry kumpea slices atawarambisha mjulubeng had I 11 o’clock in the morning, so hawawes karibia

1 Like

Always pre-plan.