It’s been a week of dry taps. My reserve is almost finished. Naona leo nikienda Hussein dairy kwa zile tank kubwa. Leta mitungi boss.
Mombasa ishakua taabu. Naomba uhuru arudi huku aongee na governor wa Kilifi aturudishie maji. Kama haiji leo watu wataoga pirates kesho.
Mbona Hussein Dairy hajanunuliwa bado na Brookside…what about Kilifi Gold…kuna Kilifi Gold Triathlon coming up this year nili miss ya Last year huu mwaka lazma are you prepared?
go-od question…
come shower at my house @Meria Mata … wear those tight biking shorts, mkay?
Honestly, mi sikuoga leo. Production ilisimama jana mabenda holdings. Sasa itabidi nieendee na tanker pale chini ya bridge. Kamwana arudi puliiz
Can i come too. I good in tight
Maji ya kuoga hiyo iko kwa wingi kwa borehole, ya kunywa ndio Sasa napima kama dawa, 1 cup a day kwa kila mtu
i’ll call you once the ambulance takes @Meria Mata away … just wait under nyali bridge
Hussein dairy went bust a few yrs ago after the old man died. The sons couldn’t agree or had no idea on how to run the business. Ata shamba imevamiwa na squatters.
Jomo always used to visit Hussein dairy for a goat eating party every time he was in mombasa.
@Nefertities am taking your offer.
I like the ambulance bit. (how I will get there)
Lemi take my vitamins and chew on some roots. Book the ambulance for a return take
Desperate times call for innovation. Jump into a swimming pool and do 20 laps every morning. anyone asks, tell them you have decided to keep fit
Thank me later
ze zirst is zreal!
Kuna mtu ako kwa dryspell hawker akiingia kwa mat yenye ako ndani aseme ‘sweets’ anajibu ‘yes dear’.
duh! of course the thirst is real! THIS. IS. A. THREAD. ON. WATER. SHORTAGE. EINSTEIN!
Hey pretty eyebrows
:D:D:D hi @nairobilay
Watu wa mikindani sasa wamefurahi sana angalau kila mtu ako sawa sasa
Yenyewe,kukamua elephant lazima ambulance iwe karibu
hii kiu imewazidi
Ukikuja subcounty na trela yako unikujie na mazeras stones niweke kando ya swimming pool