1 Like
Mwizi anakuja fungua hapa ama nipige teke
3 Likes
Ikifika hapa rudi ocha tu
Unaishi hapa ndio usave pesa utume ocha alafu unapata bibi walikula na msee wa boda
4 Likes
Anakuja na makasi ya kukata nguo. Hizi nyumba ni kutupa kwanza kutekana ni stress tupu.
1 Like
