Mabao Kibao Ndo Nangoja

Leo nakaa niwatch wazito Arsenali wakikamua Liverpool.

Koops will get some footballing lessons tonight.

siku hizi naongea 95th…jana uliona man u wakipoteza points hata baada ya kusaidiwa na ref…

Liverpool hawana Skrtel na Coutinho. Wataanza na Kolo Toure hapo nyuma. Watawekwa na Arsenal more than 2 goals.

1 Like

Game kama hii siwekangi pesa. Too many variables

hizi wiki mbili za njaanuary uko vipi, red ama green?

He he not so bad though on sunday zilinikataa

1 Like

Hii game naona niweke GG

GG ndio nini?

if you do me I do you…

Both teams to score. Namna hii

[ATTACH=full]27200[/ATTACH]

Game ya norwich pia ni GG

Norwich, ov2.5

Kwanza Spurs v Leicester itakuwa moto sana.

Kloop

Toa hiyo GG haraka. iyo squad ya Liverpool haiwezi funga.

mundu mlosi ebu nisaidie na link ya game ya arsenaly on kodi priss

mundu mlosi ebu nisaidie na link ya game ya arsenaly on kodi priss

Yessssss tunakamua nyoka…

@Purr_27 = @uwesmake ??? :eek:
:eek:

GG imeingia within 15 mins

Gg anaezA lala na viatu