Ma-Millie Odhiambo wa KTalk

Nimeona kwa threads mingi vile talkers wamekazana kumshambulia Millie Odhiambo kumtusi Rais. Shida ni vile nimeona wengi wao hapa wakitusi the president, the deputy na Raila na majina mengine Millie Odhiambo mwenyewe angetumia. We may disagree with a leader on their politics or temperament but we should always refer to them with their titles or/and given names. Mtu huitana jakuon mara jichonyanya mara baboon or something halafu unacomplain ati Millie ni wanker. I wonder if these names would go down well if Millie herself used them. Hata anonymously, tuheshimu viongozi wetu.

3 Likes

kwenda huku na huyo babuon wako

1 Like

Uhuru and ruto started it now their juniors have taken over

5 Likes

Niaje Fleischmann? Si unajijua.

This is an anonymous forum. Ukipatana na hao talkers nje. Mtu anakusalimia na heshima hata unashangaa. It is all about decorum. Mimi au @spear saa hii nikipatana na Jakuon Nam salimia na heshima.
[ATTACH=full]74073[/ATTACH]

5 Likes

hata mimi siwezi muita babuon

2 Likes

Uliona vile Kuria alinyenyekea hadi unashangaa kare ki!

1 Like

Are you suggesting that Ktalkers’ stamina is inconsistent when it comes to receiving as well as they serve? Well colour me surprised !! :confused:.

Mimi sijacomplain.

Millie anaruhusa kumtusi Rais majina yote aliyojifunza kwa ule mtaro aliolelewa. Kicheko tu ni kuwa Rais Wa Jamhuri anamsikiliza tu akijiuliza: “kweli huu ndio upinzani wa serikali ya Jubilee, tutakaong’angania uongozi tena nao 2017”?

http://www.techweez.com/wp-content/uploads/2016/04/Ce4zEIaWQAAcM5n.jpg