Ma greater thinker wako wapi

Shukrani AG. Ni vile wengi wanaingia kwa machale sio kama kipindi ile.

Mzima lakini?

Mimi ni mzima kabisa. Uko aje wewe. Naona nihamie JF niwe nakuona kila time.

Mie sijambo kabisaaa. Uzima ninao.

Ewaaaa. Hamia tu jamaani rafiki kule daily lazima niingie hata kama ni kidogo.

Mnatunyima nini huko aiseee.

Naam mami. Naja huko upesi