Hivi inakuwaje kwenye awamu hii ya tano ndio tumekuwa tukiwaona wakuu wa wilaya,Ma RAS na ma DAS kuwa ndio wanakabidhi zawadi kwa washindi wa hizo bahati nasibu za makampuni ?Sasa leo kilichonichosha eti katibu tawala wa wilaya ya morogoro amepokea vikapu vitatu vyenye zawadi mchele na vitu vya sikuku kwa niaba ya washindi eti kutoka radio EFM!!!kwa niaba ya mkuu wa wilaya!!!tena inarushwa kwenye taarifa ya habari hata kama ni kuuza sura sio kwa vitu vidogo kama hivi jamani!!mbona kuna mambo mengi tu ya kufanya ili uonekane vizuri?kuna kamanda mmoja yeye alikuwa akiona kuwa hana habari ya kuuzia kideoni alikuwa anawaambia walioko chini yake nendeni kule store ya kutunzia siraha mlete ile nzito(mjegejo)niuzie sura leo kuwa tumekamata majambazi na kuweza kuokoa siraha hii anaishika juu!!!anataja namba!watu weweee,sasa siku moja akajisahau akaitoa tena kwa wanahabari daa kusoma namba zile zile wakamuuliza inakuwaje mbona namba zinafanana na ile ya siku ile??kwa kuwa yule alikuwa msanii inshu aliituliza hapo hapo na yule mwanahabari alipigwa biti sijui tena kama kwenye mikutano yake na wanahabari alionekana tena!!
Nilipocheka ni pale Spika anawakataza Wabunge kubet, wakati wakuu wa Wilaya ndio wagawaji wa zawadi kwa washindi wa michezo hiyo. Wao wanaona ni michezo ya kihuni na wizi ila wananchi wako huru kufanyiwa huo uporaji hii nchi inavituko sana
Hii ndio nchi ya vi-wonder
Ukitaka kuona maajabu mengine ya dunia njoo Tanzania ujionee utawala wa awamu ya 5 wa bwana jiwe yaani viongozi wanashindana kumfurahisha bosi wao ambaye naye akili zake hazina tofauti na chizi
Sio hazina tofauti na chizi yaani ni chizi kabisa mkuu.
Nafurahi kukuona huku mkuu.
Michezo ya bahati nasibu ni zuluma tu na ujanja ujanja mwingi wa wenye kampuni. Simshauli mtu kucheza
Bongo bahati mbaya
Halafu kuna VIJANA walishsuri eti nicheze Tatu mzima, khaaaa!!! Mara 100 nitabiri barca itashinda huku nikijua silaha zao zilivyo.
Wanaigiza kumfurahisha mfalme juha
Wanachekesha mno