Ati port itahamishwa iende naivasha kwani hata bahari itahamishwa huko,kuna tofauti ya MTU alienda shule na yule amenunua makaratasi ,among others
Point of entry can’t be moved. But the Freight Stations can be moved inward. Especially for transit goods.
Enyewe hio ni ujinga
Shining eyes on transit Goodz
@introvert and @Meria Mata, could there be land-based ships na hatujui?
Will they be by-passing the port and taking their cargo direct to Naivasha, via Lake Naivasha?
Wanajuaga wafuasi wao hawafikiri…
Hehehe.
@Meria Mata wapi Picha ya Amphibious Jeep? Meli zitakuwa zinatoka kwa maji and off to the highway.
@introvert SPOTTED
[ATTACH=full]88010[/ATTACH]
:D:D:D:D:Dkumbe wameweka levitation tech kwa meli?
Wueeh. This is nice.
Weeeue that’s a monster.
hiyo probox inaweza bebwa kama crate ya soda
…Hehehe probox being at the wrong place aaaaall the time!
Ngoja niweke sketch.
This insanely futuristic technology will render the SGR null and void.
:D:D
Nikapata Kama hii,hakuna kufunga dirisha nikidrive.Kila mtu anione.
hii hata basi za githu zinakuogopa
Wings Engineering
Hii machine niliona thika thika 2015, business stood still as it snaked its way through, noma sana hii kitu.
Jubilee itachimba ‘suez canal’ from msa to Naivasha.
Hehehe